Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 26:1

Walawi 26:1 BHN

“Msijitengenezee sanamu za miungu ya uongo, msishike sanamu zao za kuchonga wala nguzo wala sanamu za mawe yaliyochongwa nchini mwenu na kuvisujudu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Soma Walawi 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Walawi 26:1