Mathayo 16:13-15
Mathayo 16:13-15 BHN
Yesu alipofika pande za Kaisarea Filipi, aliwauliza wanafunzi wake, “Watu wanasema Mwana wa Mtu kuwa ni nani?” Wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.” Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?”