Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:3-4

Mathayo 7:3-4 BHN

Kwa nini wakiona kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 7:3-4