Zaburi 26:2-3
Zaburi 26:2-3 BHN
Unijaribu, ee Mwenyezi-Mungu, na kunipima; uchunguze moyo wangu na akili zangu. Fadhili zako ziko mbele ya macho yangu, ninaishi kutokana na uaminifu wako.