Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 13:2

Ufunuo 13:2 BHN

Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 13:2