Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 17:1

Ufunuo 17:1 BHN

Mmoja wa wale malaika saba waliokuwa na bakuli akaja, akaniambia, “Njoo, nami nitakuonesha adhabu aliyopewa yule mzinzi mkuu, mji ule uliojengwa juu ya maji mengi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 17:1