Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 2:17

Ufunuo 2:17 BHN

“Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Mshindi nitampa ile mana iliyofichika. Nitampa pia jiwe jeupe lililoandikwa jina jipya ambalo hakuna mtu aliyelijua isipokuwa tu wale wanaolipokea.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 2:17