Wimbo Ulio Bora 3:1
Wimbo Ulio Bora 3:1 BHN
Usiku nikiwa kitandani mwangu, niliota namtafuta nimpendaye moyoni mwangu; nilimtafuta, lakini sikumpata.