1 Mambo ya Nyakati 16:12
1 Mambo ya Nyakati 16:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumbukeni matendo ya ajabu aliyotenda, maajabu yake na hukumu alizotoa
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 161 Mambo ya Nyakati 16:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yakumbukeni matendo yake yote ya ajabu aliyoyafanya; Miujiza yake na hukumu za kinywa chake
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 16