1 Mambo ya Nyakati 16:28
1 Mambo ya Nyakati 16:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpeni Mwenyezi-Mungu, heshima enyi jamii zote za watu, naam, kirini utukufu na nguvu yake.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 161 Mambo ya Nyakati 16:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mpeni BWANA, enyi jamaa za watu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 16