1 Mambo ya Nyakati 16:29
1 Mambo ya Nyakati 16:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima ya utukufu wa jina lake; leteni tambiko na kuingia nyumbani mwake. Mwabuduni Mwenyezi-Mungu patakatifuni pake.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 161 Mambo ya Nyakati 16:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mpeni BWANA utukufu wa jina lake; Leteni sadaka, na mje mbele zake; Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 16