1 Mambo ya Nyakati 29:11
1 Mambo ya Nyakati 29:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi; maana vitu vyote vilivyo mbinguni na duniani ni vyako; ufalme ni wako, Ee BWANA, nawe umetukuzwa, u mkuu juu ya vitu vyote.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 291 Mambo ya Nyakati 29:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ukuu na uweza, ni vyako, Ee BWANA, na utukufu na enzi na uzuri, kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani ni chako wewe. Ee BWANA, ufalme ni wako; umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 29