1 Mambo ya Nyakati 29:14
1 Mambo ya Nyakati 29:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini mimi ni nani, na watu wangu ni nani, hata tuweze kutoa kwa hiari hivi? Kwani vitu vyote vyatoka kwako na katika vitu vyako mwenyewe tumekutolea.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 291 Mambo ya Nyakati 29:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Lakini mimi ni nani, nao watu wangu ni nani, hata tuweze kukutolea kwa ukarimu namna hii? Vitu vyote vyatoka kwako, nasi tumekutolea tu vile vitokavyo mkononi mwako.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 29