1 Wakorintho 1:10
1 Wakorintho 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, nawasihini kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo: Pataneni nyote katika kila jambo msemalo; yasiweko mafarakano kati yenu; muwe na fikira moja na nia moja.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11 Wakorintho 1:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ndugu, nawasihi, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba nyote mnene mamoja; wala pasiwe kwenu migawanyiko, bali mhitimu katika nia moja na shauri moja.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 1