1 Wakorintho 1:18
1 Wakorintho 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana ujumbe kuhusu kifo cha Kristo msalabani ni jambo la kipumbavu kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea, lakini kwetu sisi tulio katika njia ya wokovu, ujumbe huo ni nguvu ya Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11 Wakorintho 1:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 1