1 Wakorintho 1:20
1 Wakorintho 1:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mlete hoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu?
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11 Wakorintho 1:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi msomi? Yuko wapi mwanafalsafa wa nyakati hizi? Je, Mungu hakufanya hekima ya ulimwengu huu kuwa upumbavu?
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 1