1 Wakorintho 11:27
1 Wakorintho 11:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 111 Wakorintho 11:27 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa hiyo, mtu yeyote alaye mkate huo au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa na hatia ya dhambi juu ya mwili na damu ya Bwana.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11