1 Wakorintho 11:28-29
1 Wakorintho 11:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. Maana alaye na kunywa, hula na kunywa hukumu ya nafsi yake, kwa kutokuupambanua ule mwili.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 111 Wakorintho 11:28-29 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Inampasa mtu ajichunguze mwenyewe, kabla ya kula mkate na kukinywea kikombe. Kwa maana mtu yeyote alaye na kunywa pasipo kuutambua mwili wa Bwana, hula na kunywa hukumu juu yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11