1 Wakorintho 14:12
1 Wakorintho 14:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Hali kadhalika na nyinyi, maadamu mna hamu ya kupata vipaji vya Roho, jitahidini hasa kujipatia vile vinavyosaidia kulijenga kanisa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 141 Wakorintho 14:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vivyo hivyo na ninyi, kwa kuwa mnatamani sana kuwa watu wenye karama za roho, jitahidini kusudi mzidi sana kuwa nazo ili kulijenga kanisa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 14