1 Wakorintho 14:3
1 Wakorintho 14:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali yeye ahutubuye, asema na watu maneno ya kuwajenga, na kuwafariji, na kuwatia moyo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 141 Wakorintho 14:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, husema na watu kwa ajili ya kuwajenga, kuwafariji na kuwatia moyo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 14