1 Wakorintho 15:10
1 Wakorintho 15:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, kwa neema yake Mungu, nimekuwa kama nilivyo, na neema yake kwangu haikuwa bure. Mimi nimefanya kazi kuliko wote; si mimi hasa, ila ni neema ya Mungu ifanyayo kazi pamoja nami.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo; na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure, bali nilizidi sana kufanya kazi kupita wao wote; wala si mimi, bali ni neema ya Mungu pamoja nami.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 15