1 Wakorintho 15:25-26
1 Wakorintho 15:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake. Adui wa mwisho atakayeangamizwa ni kifo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:25-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke adui zake wote chini ya miguu yake. Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 15