1 Wakorintho 15:55-56
1 Wakorintho 15:55-56 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kifo, ushindi wako uko wapi? Uwezo wako wa kuumiza uko wapi?” Kifo hupata sumu yake katika dhambi, nayo dhambi hupata nguvu yake katika sheria.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:55-56 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuko wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? Uko wapi, Ewe mauti, uchungu wako? Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 15