1 Wakorintho 15:58
1 Wakorintho 15:58 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ndugu zangu wapenzi, simameni imara na thabiti. Endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi ya Bwana, mkijua kwamba kazi mnayofanya katika utumishi wa Bwana haitapotea bure.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:58 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, msitikisike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mnajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:58 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, msitikisike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mwajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 15