1 Wakorintho 2:14
1 Wakorintho 2:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 21 Wakorintho 2:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mtu ambaye hana Roho hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa upambanuzi wa rohoni.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 2