1 Wakorintho 2:16
1 Wakorintho 2:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 21 Wakorintho 2:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 2