1 Wakorintho 3:11
1 Wakorintho 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna mtu awezaye kuweka msingi mwingine badala ya ule uliokwisha wekwa, yaani Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 31 Wakorintho 3:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana msingi mwingine hakuna mtu awezaye kuuweka, isipokuwa ni ule uliokwisha kuwekwa, yaani, Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 3