1 Wakorintho 3:9
1 Wakorintho 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana sisi ni ndugu, wafanyakazi pamoja na Mungu; na nyinyi ni shamba lake; nyinyi ni jengo lake.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 31 Wakorintho 3:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana sisi tu wafanya kazi pamoja na Mungu; ninyi ni shamba la Mungu, ni jengo la Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 3