1 Wakorintho 5:12-13
1 Wakorintho 5:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana yanihusu nini kuwahukumu wale walio nje? Ninyi hamwahukumu hao walio ndani? Lakini hao walio nje Mungu atawahukumu. Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 51 Wakorintho 5:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, ni shauri langu kuwahukumu watu walio nje? Hao Mungu atawahukumu. Je, nyinyi hampaswi kuwahukumu wale walio katika jamii yenu nyinyi wenyewe? Mfukuzeni mbali nanyi huyo mwovu!
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 5