1 Wakorintho 6:18
1 Wakorintho 6:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ikimbieni zinaa. Dhambi zingine zote atendazo mtu ziko nje ya mwili wake, lakini yeye aziniye hutenda dhambi ndani ya mwili wake mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 61 Wakorintho 6:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Jiepusheni kabisa na uzinzi. Dhambi nyingine zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi dhidi ya mwili wake mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 6