1 Wakorintho 7:3 - Linganisha Matoleo Yote
1 Wakorintho 7:3 BHN (Biblia Habari Njema)
Mume atimize wajibu alio nao kwa mkewe, naye mke atimize wajibu alio nao kwa mumewe.
Shirikisha
1 Wakorintho 7 BHN1 Wakorintho 7:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Shirikisha
1 Wakorintho 7 SUV1 Wakorintho 7:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Shirikisha
1 Wakorintho 7 SRUV1 Wakorintho 7:3 NEN (Neno)
Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe, naye vivyo hivyo mke kwa mumewe.
Shirikisha
1 Wakorintho 7 NEN