1 Wakorintho 7:5
1 Wakorintho 7:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivyo kwa kitambo tu, ili mpate nafasi nzuri ya kusali. Kisha rudianeni tena mara, ili Shetani asije akawajaribuni kwa sababu ya udhaifu wenu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 71 Wakorintho 7:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 7