1 Wakorintho 8:13
1 Wakorintho 8:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, ikiwa chakula husababisha kuanguka kwa ndugu yangu, sitakula nyama kamwe, nisije nikamfanya ndugu yangu aanguke katika dhambi.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 81 Wakorintho 8:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo, chakula kikimkwaza ndugu yangu, hakika sitakula nyama hata milele, nisije nikamkwaza ndugu yangu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 8