1 Wakorintho 9:22
1 Wakorintho 9:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwao walio dhaifu nimejifanya dhaifu ili niwapate hao walio dhaifu. Nimejifanya kila kitu kwa wote ili nipate kuwaokoa baadhi yao kwa kila njia.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 91 Wakorintho 9:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa wanyonge nilikuwa mnyonge, ili niwapate wanyonge. Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa watu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 9