1 Wakorintho 9:24
1 Wakorintho 9:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, hamjui kwamba katika uwanja wa michezo, ingawa wapiga mbio wote hukimbia, ni mmoja tu anayejinyakulia zawadi?
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 91 Wakorintho 9:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Hamjui, ya kuwa wale washindanao kwa kupiga mbio, hupiga mbio wote, lakini apokeaye tuzo ni mmoja? Pigeni mbio namna hiyo, ili mpate.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 9