1 Yohane 2:5
1 Yohane 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mtu yeyote anayeshika neno la Mungu, huyo ndiye aliye na upendo kamili wa Mungu ndani yake. Hivi ndivyo tunavyoweza kuwa na hakika kwamba tunaungana naye
Shirikisha
Soma 1 Yohane 21 Yohane 2:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini yeye alishikaye neno lake, katika huyo upendo wa Mungu umekamilika kweli kweli. Katika hili twajua ya kuwa tumo ndani yake.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 2