1 Yohane 3:24
1 Yohane 3:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayezitii amri za Mungu anaishi katika muungano na Mungu na Mungu anaishi katika muungano naye. Kwa njia ya Roho ambaye Mungu ametujalia, sisi twajua kwamba Mungu anaishi katika muungano nasi.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 31 Yohane 3:24 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wale wote wanaozishika amri zake hukaa ndani yake na yeye ndani yao. Hivi ndivyo tunavyojua kwamba anakaa ndani yetu. Nasi twajua hili kwa njia ya Roho yule aliyetupa.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 3