1 Yohane 4:18-19
1 Yohane 4:18-19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika pendo hamna hofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa maana hofu ina adhabu; na mwenye hofu hakukamilishwa katika pendo. Sisi twapenda kwa maana yeye alitupenda sisi kwanza.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 41 Yohane 4:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu. Sisi tuna upendo kwa sababu Mungu alitupenda kwanza.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 4