1 Yohane 4:8-9
1 Yohane 4:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu asiye na upendo hamjui Mungu, maana Mungu ni upendo. Na Mungu alionesha upendo wake kwetu kwa kumtuma Mwanae wa pekee ulimwenguni, ili tuwe na uhai kwa njia yake.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 41 Yohane 4:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo. Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 41 Yohane 4:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo. Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 4