1 Wafalme 11:9
1 Wafalme 11:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, alimkasirikia Solomoni, kwa sababu alikuwa amemwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ingawa yeye alikuwa amemtokea mara mbili
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 111 Wafalme 11:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi BWANA akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha BWANA, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 11