1 Wafalme 16:30
1 Wafalme 16:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ahabu mwana wa Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA kuliko wote waliomtangulia.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 161 Wafalme 16:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Ahabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kuliko wafalme wote waliomtangulia.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 16