1 Wafalme 16:31
1 Wafalme 16:31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa, kama ingalikuwa neno dogo tu kuyaendea makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati, akamwoa Yezebeli binti Ethbaali, mfalme wa Wasidoni, akaenda akamtumikia Baali, akamsujudia.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 161 Wafalme 16:31 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kama vile haikutosha kuishi kama Yeroboamu mwana wa Nebati, akamwoa Yezebeli binti wa Ethbaali, mfalme wa Wasidoni, naye akaanza kumtumikia Baali na kumwabudu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 16