1 Wafalme 17:1
1 Wafalme 17:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Eliya Mtishbi, wa wageni wa Gileadi, akamwambia Ahabu, Kama BWANA, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninasimama mbele zake, hakutakuwa na umande wala mvua miaka hii, ila kwa neno langu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Basi Eliya, Mtishbi kutoka Tishbi katika Gileadi, akamwambia Ahabu, “Kama BWANA, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninamtumikia, hapatakuwa na umande wala mvua katika miaka hii, isipokuwa kwa neno langu.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17