1 Wafalme 17:10
1 Wafalme 17:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Elia akaondoka, akaenda Sarefathi. Alipofika penye lango la mji, alimkuta mwanamke mmoja mjane anaokota kuni. Elia akamwita mwanamke huyo na kumwambia “Niletee maji ninywe.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, akaondoka, akaenda Sarepta; hata alipofika langoni pa mji, kumbe! Mwanamke mjane alikuwako akiokota kuni; akamwita, akamwambia, Niletee, nakuomba, maji kidogo chomboni nipate kunywa.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17