1 Wafalme 17:15
1 Wafalme 17:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, huyo mwanamke mjane akaenda akafanya kama alivyoambiwa na Elia hata mama huyo, jamaa yake na Elia wakapata chakula kwa siku nyingi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi akaenda, akafanya kama alivyosema Eliya; na yeye mwenyewe, na Eliya, na nyumba yake, wakala siku nyingi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17