1 Wafalme 17:16
1 Wafalme 17:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Unga chunguni haukupunguka, wala mafuta katika chupa hayakwisha sawa kabisa na neno la Mwenyezi-Mungu alilomwambia Elia aseme.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lile pipa la unga halikupunguka, wala ile chupa ya mafuta haikuisha, sawasawa na neno la BWANA alilolinena kwa kinywa cha Eliya.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17