1 Wafalme 17:24
1 Wafalme 17:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwanamke akamwambia Eliya, Sasa najua ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, na ya kuwa neno la BWANA kinywani mwako ni kweli.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:24 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo yule mwanamke akamwambia Eliya, “Sasa ninajua kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na kwamba neno la BWANA kutoka kinywani mwako ni kweli.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17