1 Wafalme 17:4
1 Wafalme 17:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Itakuwa utakunywa maji ya kile kijito; nami nimewaamuru kunguru wakulishe huko.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17