1 Wafalme 17:5
1 Wafalme 17:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi akaenda akafanya kama alivyosema BWANA; kwa kuwa akaenda akakaa karibu na kijito cha Kerithi, kinachokabili Yordani.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hivyo akafanya kile alichoambiwa na BWANA. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17