1 Wafalme 17:7
1 Wafalme 17:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, baada ya siku chache kijito kikakauka kwa sababu hapakunyesha mvua nchini.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa, baada ya siku kupita, kile kijito kikakatika, kwa sababu mvua haikunyesha katika nchi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17